A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z #

RUSTY lyrics : "Sanaa"

Chorus
Skiza mistari, vile mimi natimiza
Ndoto yangu, kutoka kwenye giza

Kwenye Sanaa, msanii natumbuiza
Wengi walisema, mziki sio career
Kaa chini, bro hebu fikiria

Kushika MIC, kajifunza kuitumia
Kwenye mawazo, yangu natilia
Mkazo mkali, basi masaa yatimia


Verse 1
Saa hii nimeibuka

Masaa imefika wasanii kugutuka
Kutoka underground, this time nainuka
Mziki elimisha wala sio kwa payuka

Skia hiyo beat vile mi nimeisuka
Piracy mitumba, Origy Ni Kwa duka
Hip Hop iligenya saa hii imefu!@*@a

Usiponisikia we mwenyewe utajuta
Majuto Ni mjukuu basi we usijiduu?yeah
Verse 2

Tangu nianze usanii kuna madeni nimekopa
Pengine ningechanga doh, ningekuwa Na chopper
Saa hii mi celeb, underground nimetoka

Nimetoka mbali, ukiniona we toroka
Kufuata, mafala, wajanja naogopa
Mbio za nyikani, any time nachomoka

Wazazi wanikanya, wanasema napotoka
Kijana nsikilize mi mamako naokoka
Dunia mbaya sana, na ufalme ni wa nyoka

Vijana, wasichana wote wanacheza soka
Nini?, eti wanacheza soccer!
Vijana, wasichana wote wanacheza soccer


Verse 3
Ma time zimefika Piaily Na Babily kujulikana

Kutoka long time, this time twapambana
Bidii toka nayo tume hustle tena sana
Methali yangu, Ina maana nyingi Sana

Wengi wameshindwa kuichambua noma Sana
Mziki sio game usipo hit uwe blame jinga Sana
Nakupa tabasamu mikono nakurushia

Maisha ni machungu na raha kukimbilia
Big Unit tunasema huwezi tukimbia
Popote utaenda sisi tutakufikia

Nakupa kitu kali Piaily Na Rusty boy
A.k.a. Wakily


Outro
Ukoo Gani
Squad Safi

Moss, Piaily, Babily na Rinty Binty
Yeah?One Luv

Submit Corrections