A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z #

RUSTY lyrics : "Maisha Yamenipoza"

Intro
Rusty
Featuring Twisty

Na Generali
Sound land Records
Maisha Yamenipoza jo!

Nimeamua ku chill
Au sio jo! Au sio,
Yeah.


Chorus
Maisha yamenipoza

Kweli ninabaki mi nawaza
Virusi vya ukimwi kunipata
Naona Kama Mimi ntajimada, Aah!

Ewe Mola nisamehe
Watu wote sasa wanihepa
Mimi Leo nimebaki pekee yangu

Nashindwa nitaishi ama kufa, Aah!

Verse 1

Nimeishi siku nyingi bila kuipata dhiki
Leo niko hapa mi mwenzako nasadiki
Nimekula raha siku nyingi zaidi ya wiki

Bila kujua siku moja nitakosa tiki
Mpenzi wangu ameaga naye jina lake Vicky
Majirani wanitenga kuniongezea dhiki

Nilidhani wazuri !@$&be hao wanafiki
Walianza matusi kuharibu urafiki
Ghafla ikawa sipati hata riziki

Maisha Ni magumu sifanyi tena mziki
Ningekuwa Na Mali ningenunua Suzuki
Niende nayo mbali nikafie Uturuki

Kwa jamii bila pesa Ni Kama sikubaliki
Nikisema chochote Ni Kama siaminiki
Kilio nalia lakini hakisikiki

Nawasihi muombe Na Mola awabariki
Verse 2
Yeah, HIV haina cure

Lakini yaweza preventiwa
Ni juu yetu sote
Ikiwa uko pure

Mimi hapa najaribu kutafuta cure
Huku niki preventiwa, Na hali ilivyo
Wengi wameaga, wengine mayatima

Ikiwa unataka kuwa kioo cha jamii
Lazima uwe nami tukisuluhisha jambo hili
Najua HIV haina cure

Lakini yaweza preventiwa
Mradi uwe mwaminifu
Wapenzi watukufu

Ni wale watembeao
Katika njia za haki
Mabeshte wacheni taki

Upendo, wa dhati
Huja tu Kwa marafiki
Date za kisirisiri

Siku moja ama mbili
Utajikuta Kwa kaburi
Kufungua, kituo

Ni kipindi cha penzi hatari
Hatakama una Mali
HIV haitambui


Verse 3
I say don't be afraid hata ka una stress

Something normal tume come ku address
Make sure you're busy every time una stress
Ama u meet hiyo counsel upewe hiyo advice

Just ikiwa tough utter word to the Lord aku bless
Wasee nawa show si poa kuji stress
Nataka mnielewe

Ukweli si uwongo
Niwaelezayo inatoka kwenye moyo
Machali wana go

Mambuyu wana go
Wamasa wana go
Na mamanzi wana go
Watu wengi wana go
Yeah, yeah yeah

Don't be afraid ata ka una stress
Something normal tume come ku address
Make sure you're busy every time una stress
Ama u meet hiyo counsel upewe hiyo advice

Submit Corrections