A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z #

RUSTY lyrics : "Emma"

Intro
Yeah?Big Unit-Genge Mufti
2008

Dedication to Emma
Alters Records
Yeah?Twende

Aha?ShaSha Mo na Rusty

Chorus

Mpenzi wangu Emma
Mi nakupenda nasema?
Macho yako yamenivutia?

Mashallah! (Mashallah! )
Why Lie! (Why Lie) x3


Verse 1
Mpenzi wangu Emma
Ni kweli mi nasema

Mi bado nakupenda
Hata watu wakinena
Siwezi kukutema

Ninakuwazia mema
Kwa siku zangu zote
Bado mema nitatenda

Naapa mpenzi
Sitoweza kukutenga
Wengi walisema

Siwezi kukupata
Story nikakata
Nisije kukuhata

Nafanya uradi fasta
Niweze kuwa nawe
Ukidrill kwenye highway

Na feel kuwa nawe
Yeah?na feel kuwa nawe
Verse 2

Nakupa tabasamu mikono nakurushia
Maisha ni machungu na raha kukimbilia
Big Unit tunasema, huwezi tukimbia

Popote utaenda sisi tutakufikia
Najua uko poa mrembo wakubugia
Mara ninapolala ni wewe nafikiria

Aaah, Ni msanii kwa sanaa
Ni kweli ninasema kunihepa ni balaa
Unabaki umeshangaa

Ndio maana tunasema
Hivi na vile vile
Kutoka siku ile

JD naitwa hero
Kutoka hapa GILO
Pretty Emma

Mi sikupi vitisho
Nakupa langu himizo
Na hope sio tatizo

Ndio life siku hizo
Hivo jinsi ilivyo
Ya kweli kutimiza

Japo swali we uliza
Yeah?Japo swali we uliza


Verse 3
Na saa ukinijia
Masaa yatimia

Wazo langu tulia
Yote mengi ya dunia
Sahau yalopita

Mateso kadri vita
Na mi nakuita
Ukweli sitoficha

Banyes Twist Guitar
Ushow zote features
Mziki utani?

Fikisha mbali Sana
Na hope ndio future
Manake sio nature

Manake tunawika tukidai every time
Pretty Emma
I love you so much
Baby, I love you so much


Outro
Big up Mafans wote wa GILO
Skug Unit
Squad Safi
Madedix

Tuko pamoja tu yaani?
Au sio!

Submit Corrections