A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z #

RIGGA lyrics : "Sina Chorus"

Intro:

Sina doh, sina ndai, sina chorus

Sina doh, sina ndai, sina chorus
Sina doh, sina ndai, sina chorus
Sina chorus... yeah


Verse 1


Niwie radhi!
Nina maswali mengi
Nimekosa mwelekeo, natafuta purpose

Kupata wera tafash!
Nasaka works, ndiyo nipate kwangu angalau.
Cheki marafiki vile wameendelea

Vipi mienendo yao umependelea
Ukanisahau, for real! Kuuliza si ujinga
Sio madharau!

Pata shahada, lipwa mshahara, mugwanja, isikuwe lengo langu kuu!
Nakusikiza nisivunjike guu, nimekosa bus fare inabidi kaguu.
Ni nini nita-do, ni nini nitafanya

Nikishinda rat-race bado mi ni panya!
S'taki huzuni na kulia
Nifunze tafadhali nisifunzwe na dunia.


Chorus


Sina chorus, sina chorus
Sina chorus lakini mi si-"maindi"
Sina doh, sina doh,

Sina doh lakini mi si-worry
Sina ndai, sina ndai,
Sina ndai lakini nitawahi

Nitawahi, nitawahi, nitawahi...yeah

Verse 2


Miaka nenda, miaka rudi
Njumu zangu zilezile

Siko down sana, lakini kuna vile
Nishughulikie! Ni-sort kiasi!
Angalua ndula mpya, mavasi!

Ndiyo nikuwe mbele hisivi
Nipate works poa ndiyo nijenge hii CV
Nitatia bidii, kwa wenzangu nita-rank

Lazima niwe na ka-security kwenye bank
Nijitegemee kidogo, kabla ya kutafuta kidosho. Nioe malkia tupate mtoto
Tuwe kwa hali njema, sio msoto!

Bado tatizo, bado niko shidani,
Kujitoa humu kwa nguvu zangu mimi sidhani nitatoboa
Itabidi umeniokoa,

Wanasema kukufuata nimenoa.

Chorus


Nimekufuata miaka kadhaa, na sijapata chapaa (nyingi!)
Lakini umenisort mahitaji!

Ma-lap kadhaa, bila ya kulipa (shilingi!)
Nashindwa pesa zilitoka wapi?
Bila kusanya, mimi sio crook man!

Ume-provide so unastahili shukran!
Nikicheki future, ninababaika.
Nasahau aje pahali tumetoka, pahali tumefika!?

Niki-worry «Ni lini nita-marry?
Ni lini nita-save enough ni-buy gari? »
Ni lenge cladi za mtush, exhibition!

Niko-worth more kuliko dush. Mission,
Ndiyo 'nafaa kuzingatia
Siwezi out-shine maua hata Supra nikizing'aria

Sina million, lakini nimeangukia
Follow the Leader,
Mola wewe tangulia!


Chorus x2


(fade to end)

Submit Corrections