A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z #

JEMEDARI lyrics : "Letter To The President"

Verse 1
Jina kamili wananiita Jemedari
Msanii wa kufoka nikitumia mistari

Mkaazi wa jiji, mzalendo toka tangu
Nina barua kwako, Rais. Mawazo yangu
Nianze kwa kuzusha au nianze kwa shukrani

Nikunje sura au nianze kwa utani
Nije kwa kwa kukashifu au ntoe samahani
Mi mabonga na aliye kwa usukani

Kuna mambo flani ndani nahisi kama huoni
Ama labda waona lakini wasikia soni
Thoughts za mamilioni kutoka ndani moyoni

Naja kwa zangu kasi na sipigi hata honi
Najua utasema kuna watu wanaohusika
Na mambo mengi kichwani yanakushika

Sima uwezo mimi kule bungeni kufika so
Naomba tu ukaribie speaker


Chorus
Police killings, Murders and Drug Dealings
IDPs living in rooms with no ceilings

MPs rolling in Millis with no feelings
(Excuse me. Am talking to you, Mr. President)
Teachers, Doctors striking for more pay

And money gets wasted everyday
And these things happen as you get your way
(Excuse me. Am talking to you, Mr. President)


Verse 2
Wangapi daily waanagushwa na risasi za polisi

Bila hatia, hakuna kitu wanahisi
Wangapi ni ma IDP hawana kwao
Bado twaimba ati haki iwe ngao?

Upuzi kusema "kura yangu ni sauti"
Kusimama kusema "kwa bendera nasaluti"
Maliza boot indo ninunue kabuti

Nisicha!@*@e nikipitwa na Prado na suti
Nilisoma kusoma, nipite nipate kazi
Nipige mchanga, nichange za kukomboa wazazi.

Nile kula kushiba, 'kibaki iwe ni akiba
Hepa miba, nikirudi mchangani iwe ni msiba
Vile nacheki mwananchi ndo huumia.

Pata hamsini maisha inataka mia
Kazi si kazi, kuishi ni kazi pia
Daktari walishagoma huna hope ukizimia!!!


Verse 3
Forget the president, this is for all leaders

Forget the writer, this is for all readers
Forget the speaker, this is for all heeders
Am talking to the living souls of all bleeders

Forget rapping, $$#ume am just talking
Forget about talking the talk and start walking
Forget the facebook updates and twitter mentions

Walk up to your local leader and ask (ask)
-Show me where the road is, tell me where's the water?
-Show me the land, where are you taking the squatters?

-Show me the school? Where are you building the quarters?
-Show me the jobs you promised sons and daughters
Realize, Change is my mission

Realize, my vote is my decision
Realize, my living is my heaven
And am a Kenyan, 24-7...


Chorus


Police killings, Murders and Drug Dealings
IDPs living in rooms with no ceilings
MPs rolling in Millis with no feelings

(Excuse me. Am talking to you, Mr. President)
Teachers, Doctors striking for more pay
And money gets wasted everyday

And these things happen as you get your way
(Excuse me. Am talking to you, Mr. President)

Submit Corrections