A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z #

GLORIA MULIRO lyrics : "where you go i go where you stay i stay i will follow you"

Verse 1 :

1. Unaponipeleka

mie si lazima nijue Unachoniwazia mie si lazima
nijue Njia zako hakika Mambo yako sambamba
Mipango yako sawa,sawa Njia zako hakika Mambo

yako sambamba Mipango yako sa.a......wa

Chorus


where you go,al go,where you stay al stay,where you move al move al move,i will follow you!!


Verse two :

2.hakuna dhiki kwako,hakuna chuki kwako,wala unafiki kwako,baba kwako,ni marafiki kwako,kuna amani kwako,baba kwako,hakuna vita kwako,hakuna magonjwa kwako,wala talaka kwako,baba kwako


kuna upendo tele kwako,furaha kwako,umoja kwako,baba kwako

Submit Corrections