A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z #

EUNIA SIMBAGOYE lyrics : "Bwana Yesu Ni Warehema"

Bwana Yesu ni warehema

Bwana Yesu ni waupendo


Bwana Yesu muweza yote


Bwana Yesu ni wahuruma (4)




Bwana Yesu kwanz'arituumba


Hakuna kitu aricho tunyima

Rakini sisi tukamtendea mabaya


Bwana yesu ni wahuruma




Bwana Yesu ni warehema


Bwana Yesu ni waupendo


Bwana Yesu muweza yote

Bwana Yesu ni wahuruma





Ndugu yangu ninakushauri

Umpe Yesu maisha yako


Ayataware akuweke huru


Maana yeye ni muweza yote




Bwana Yesu ni warehema


Bwana Yesu ni waupendo

Bwana Yesu muweza yote


Bwana Yesu ni wahuruma (2)




Yeyeyeye


Mungu wamiujiza


Hakuna kama wewe

Yesu w'urukundo


Ntawuhwanye nawe


Yesu w'Imbabazi

Ntawuhwanye nawe


Tukienda Australia


Hakuna kama wewe

Tukienda America


Hakuna kama wewe


Africa nzima

Hakuna kama wewe


Tunakwabudu wewe

Hakuna kama wewe


Tunakwinuwa wewe

Hakuna kama wewe

Hakuna kama wewe


Hakuna kama wewe

Hakuna kama wewe


Hakuna kama wewe

yeyeyeye

Submit Corrections