A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z #

DENNY-C lyrics : "Kwajili Yako Feat Graciella"

Nilipata kuzaliwa miaka chache iliyopita,
Sijawahi ona Mola mimi amenipita,
Ye ndio sababu nayo ishi,

Ye ndio sababu natabasamu,
Ye ndio sababu nayo imba,eeee.eeeh
Kwangu Yeye ni so nice,

Kila siku hunibembeleza,
Kwa makosa hunikosoa,
Kwenye shida pia ni jawabu,

Maishani ndamtumikia,nyimbo nyingi me ndamuimbia,
Milele ndamshikilia, wala sitamwachilia......
Eeeh aaah mimi mwachilia


(Chorus)
Kwajili Yako naimba,

Kwajili Yako naomba,
Kwajili Yako nasonga,
Eeeh Wewe ni wangu, mimi ni wako,

Niliposota wakanihepa,
Wakanifanya kiovyo ovyo,
Na sasa narudi nyumbani Mwokozi nasema,

Mimi ni wako, Wewe ni wangu.

(Verse 2)

Ulinipa talanta, ndio maana mimi nakuimbia,
Ukanipa Baraka, studio mimi kuingia,
Wapo wengi wasiopenda kuona mimi nikikuimbia,

Wapo wengi wasiotaka kuona mimi nikikuchezea,
Lakini mimi sitajali, Jalali mimi sitawory,
Popote pale ntapokwenda, Maulana bado mimi nakupenda,

Lakini mimi sitajali, Jalali mimi sitawory,
Popote pale ntapokwenda, Maulana bado mimi nakupenda.


(Chorus)
Bridge
Kwajili Yako Baba naishi,

Kwajili Yako Yesu nacheza,
Kwajili Yako Baba naimba...aaaaa..aaaah


(Chorus x2)

Submit Corrections