Warning: session_start(): open(/var/lib/php/sessions/sess_c9g73ks9kb14bcupj3ostefc21, O_RDWR) failed: No space left on device (28) in /var/www/html/lyricsreg.com/reg.php on line 2

Warning: session_start(): Failed to read session data: files (path: /var/lib/php/sessions) in /var/www/html/lyricsreg.com/reg.php on line 2
ADAWNAGE BAND : Uwezo lyrics

A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z #

ADAWNAGE BAND lyrics : "Uwezo"

NILIKUWA NATAFUTA UKWELI WA MAISHA YANGU
SASA MIMI NAULIZA, 'NIANZE WAPI?'
MARAFIKI WANGU WOTE WAMENIKIMBIA

JEHOVAH NISSI NALIA, NIHURUMIE
 
       NIPE UWEZO, UWEZO

       WAKUSIMAMA IMARA JUU YA NENO LAKO
       NIPE UWEZO, UWEZO
       WAKUSIMAMA IMARA JUU YA NENO LAKO

 
NILIKUWA NATAFUTA KIPENZI CHA ROHO YANGU
SASA MIMI NAUMIA, NIENDE WAPI

MAUMIVU, MACHUNGU MINGI YAMENIJAZA MIMI
JEHOVAH NISSI NALIA, NIHURUMIE

Submit Corrections