Submit Your Own Lyrics!

Naweza lyrics

A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z #

NIKO NA SAFARICOM lyrics : "Naweza"


Nainuka natazama
Njia Mbele Natembea
Safari Yangu Nitafka
Kilele...

Naweza
Naweza Endelea, Naweza Kuinuka
Naweza
NawezaTarajia, Naweza Kujijenga
Naweza...
Naweza Fanikiwa, Naweza Jivunia
Naweza...
Naweza Faidika, Naweza...

Naelea, Natazama
Ndoto Zangu, Nafikia
Leo...ooooh!

Naweza Endelea, Naweza Kuinuka
NawezaTarajia, Naweza Kujijenga
Naweza...
Naweza Fanikiwa, Naweza Jivunia
Naweza Faidika
Naweza Na Safaricom

Niko Na...


Submit Corrections

Thanks to maria.01215Top NIKO NA SAFARICOM lyrics